Judges 17:3-4

3 aAlipozirudisha zile shekeli 1,100 za fedha kwa mama yake, mama yake akamwambia, “Mimi nimeiweka fedha hii wakfu kwa Bwana kwa ajili ya mwanangu kutengenezea kinyago cha kuchonga na sanamu ya kusubu. Mimi nitakurudishia wewe.”

4 bHivyo akamrudishia mama yake ile fedha, naye mama yake akachukua shekeli mia mbili
Shekeli 200 za fedha ni sawa na kilo 2.3 za fedha.
za hiyo fedha na kumpa mfua fedha, ambaye aliifanyiza kinyago na sanamu. Navyo vikawekwa ndani ya nyumba ya Mika.

Copyright information for SwhKC